MANCHESTER UNITED YAWEKA WACHEZAJI WAKE SOKONI
MICHEZO Manchester United wako tayari kuwauza wachezaji watatu ,Raphael Varane, Henrique Casemiro na Jadon Sancho ,mwezi January. Mpango wa kocha Eric Ten Hag ni kupunguza idadi ya wachezaji ambao umeambatana…