NYOTA WETU. Licha ya Cardi B kuthibitisha kutengana kwao mapema mwezi huu ,imeonekana wawili hao waliungana kusheherekea sikukuu za kuzaliwa kwa Masiha na watoto wao wawili Kulture na Wave. Kuachana kwao kulifahamika ni baada ya Cardi B kuweka maudhui kwenye mtandao wake wa Instagram, huku ikitajwa kwamba Offset ndiye chanzo cha kuachana baada ya kutoka… Continue reading CARDI B NA OFFSET BADO SIO WANANDOA
Month: December 2023
KANUNI 12 ZA KUMTULIZA MUME KWENYE NDOA
TABIA ZA MWANAUME AMBAYE HAJAKOMAA KIAKILI KWENYE NDOA
TISHIO JIPYA LA DAWA ZA KULEVYA
MSANII WA VICHEKESHO SMOTHER AFARIKI
NYOTA WETU Msanii nguli wa vichekesho, Tom Smothers ambaye ni sehemu ya wachekeshaji nguli wa kundi la “Smokers Brothers ” amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 86 baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani. TOM SMOTHERS Taarifa za msiba huo zimejiri kutoka kwa kaka yake , Dicky Smothers (84) ambaye amesema ndugu yake huyo… Continue reading MSANII WA VICHEKESHO SMOTHER AFARIKI
JINSI YA KUFAHAMU UNAYEMPENDA NAE ANAKUPENDA PIA
MAPENZI Imekuwa ni jambo gumu kufahamu ni kweli mtu unayempenda kama nae anakupenda pia? Leo ,kwa ishara hizi basi utaweza kufahamu vizuri nafasi ya mwenza wako kwako. ❤ 1. Sio mtu ambaye anaweza kufanya jambo ambalo linaweza kuhatarisha uhusiano wenu. 2. Sio mtu wa kuanza kukufikirisha mara mbili mbili au kukupa maswali moyoni 3. Ni… Continue reading JINSI YA KUFAHAMU UNAYEMPENDA NAE ANAKUPENDA PIA
GEKUL AFUTIWA MASHITAKA
HABARI KUU. Mahakama ya wilaya ya Babati imemfutia ,Pauline Gekul kesi ya unyanyasaji dhidi ya mfanyakazi wake, Hashim Ally. Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara, Victor Kimario akieleza kuwa kesi iliotajwa leo Jumatano ya Desemba 27,2023 mbele yake na ameifuta kufuatia Mkurugenzi wa Mashtaka taarifa ya kutokuwa na nia ya… Continue reading GEKUL AFUTIWA MASHITAKA
MAHUSIANO YANAJENGWA NA MAMBO HAYA
MWAMUZI MWEUSI AONEKANA LIGI KUU YA ENGLAND
MICHEZO. Ligi kuu ya England haijawahi kuwa na mwamuzi mweusi tangu ,Uriah Rennie aliyekuwa mwamuzi pekee mweusi katika historia ya mashindano hayo hadi kufikia jana,Desemba 26,2023 ambako mtu mweusi mwingine ameonekana. Sam Allison Sam Allison, ambaye alikuwa mwamuzi wa mechi kati ya Sheffield United na Luton Town ,amekuwa mwamuzi pekee mweusi kuchezesha ligi ya England… Continue reading MWAMUZI MWEUSI AONEKANA LIGI KUU YA ENGLAND