MWIMBAJI AFARIKI AKIWA ANATUMBUIZA
HABARI KUU Muimbaji wa Injili nchini Brazil, Pedro Henrique(30) amefariki Dunia akiwa anatumbuiza jukwaani, Feira De Santan kibao chake "Vai ser Tai Lindo. Baada ya matatizo alikimbizwa hospitali iliopo karibu…
HABARI KUU Muimbaji wa Injili nchini Brazil, Pedro Henrique(30) amefariki Dunia akiwa anatumbuiza jukwaani, Feira De Santan kibao chake "Vai ser Tai Lindo. Baada ya matatizo alikimbizwa hospitali iliopo karibu…
NYOTA WETU. Rapa na mwanamitindo maarufu Kanye West ambaye alibadilisha jina lake rasmi na kuwa Ye mnamo 2021,amerejea rasmi mjini Instagram baada ya kupita miezi mitano ya kuwa nje ya…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
MICHEZO Kocha wa AS Roma, Jose Mourinho amesema Josep Pep Guardiola amekuwa akitumia pesa nyingi kununua wachezaji huku akisikitishwa na klabu yake ya AS ROMA kushindwa kununua wachezaji kutokana na…
HABARI KUU Mahakama kuu imetengua uamuzi wa Baraza Kuu La CHADEMA lililoidhinisha uamuzi wa kamati kuu ya Chama hicho uliowavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18. Jaji Cyprian Mkeha amesema…
MICHEZO Wachezaji 13 wa Manchester United wapo kwenye hatari ya kutokucheza mechi kati yao na Liverpool mnamo Desemba 17,2023 huku sababu zikieleza kuwa ni majeraha. Kocha wa Manchester United, Eric…
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
(more…)
MICHEZO Shirikisho la soka la kimataifa Duniani (FIFA) limeiondolea klabu ya Yanga adhabu ya kutokusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa mchezaji wao, Gael Bigirimana ambaye alivunjiwa mkataba na…
NYOTA WETU. Kiungo wa Manchester City, Kevin De Bruyne amemchagua ambaye angependa kucheza nae kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi. Hivi karibuni, De Bruyne aliulizwa ni nani angependelea kucheza…
HABARI KUU Masheikh 9 miongoni mwa walioshikiliwa kwa zaidi ya miaka 10 katika gereza kuu la Kisongo wamesomewa mashtaka katika Mahakama kuu ya kanda, ambapo 6 kati yao wamekutwa na…