SUALA LA THABO MBEKI LILIVYO KWASASA

0:00

HABARI KUU

Taasisi ya Thabo Mbeki imepinga vikali tetesi zilizovuma kuwa kiongozi huyo wa zamani wa Afrika kusini ameaga Dunia.

Mapema Januari 3,2024 ya hivi leo kwenye mitandao ya kijamii kulifurika habari kuhusu kiongozi huyo wa zamani wa Afrika Kusini ,Thabo Mbeki kufariki. Taasisi hiyo imesema Bwana Mbeki yuko salama.

“Tunaiomba jamii kutafuta habari kwenye vyombo vya habari vya kuaminika kuhusu habari za Mbeki.

Mbeki aliingia Madarakani mnamo mwaka 1999 na kuondoka 2008 . Anakumbukwa kwa namna alivyopambana na ubaguzi wa rangi nchini humo na kwenye ukuzaji wa uchumi wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.

Matukio ya mara kwa mara ya kuzushiwa kifo kwa Rais huyu mstaafu yamekuwa na mwendelezo ,kwani mwaka 2021 iliripotiwa Bwana Mbeki amefariki kwa ugonjwa wa Covid 19 kabla ya taasisi yake kukanusha vikali.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Zimbabwean government imposes a ban on radio...
In a significant move, the Broadcasting Authority of Zimbabwe (BAZ)...
Read more
RIHANNA AMPA JAY Z TUZO ...
MICHEZO Jay-Z ameshinda tuzo yake ya tatu ya Emmy kwa...
Read more
“ REASONS WHY WOMAN GET ATTACHED TO...
Women naively believe what they hear. The way to a woman...
Read more
Athari za Kuvuta Shisha Wakati wa Ujauzito
Kulingana na Kituo cha Kudhibiti Magonjwa (CDC), kuvuta shisha wakati...
Read more
Italy dig deep to beat Swiatek's Poland...
MALAGA, Spain, 🇪🇸 - Italian Olympic gold medalists Sara Errani...
Read more
See also  Aliyekuwa mgombea wa kanda ya Nyasa ya Chadema, Mchungaji Peter Msigwa amekata rufaa katika chama hicho, akidai ushindi alioupata Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ haukuwa halali na kulikuwa na mbinu chafu dhidi yake.

Leave a Reply