AYEW KUWEKA REKODI HII AFRICON 2024

0

0:00

NYOTA WETU

Nahodha wa kikosi cha “Black Stars ” timu ya taifa ya Ghana, Andre Ayew anatarajia kuweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyeshiriki Mara nyingi kwenye michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya nane (8).

Andre Ayew , alianza kuitumikia timu yake hiyo ya taifa mwaka 2008 lakini kwenye michuano ya 2013 akushiriki kutokana na majeraha . Uwepo wake mwaka huu kwenye michuano hiyo,itakuwa ni rekodi nyingine kwake.

Anatajwa kuwa mchezaji aliyecheza michezo mingi kwenye michuano ya kombe la AFRICON, ambapo kwasasa a anashika nafasi ya pili nyuma ya Rigobert Song .

WACHEZAJI WALIOCHEZA MECHI NYINGI AFRICON

1. Rigobert Song (36)

2. Andre Ayew (34)

3. Ahmed Hassan (32)

4. Seydou Keita (31)

Kwenye orodha ya wachezaji waliocheza michezo mingi,yeye anabaki kuwa mchezaji ambaye bado hajastaafu.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading