NYOTA WETU.
Klabu cha karne , AL AHLY ya Cairo, Misri ndio klabu inayoongoza kwa kulipa wachezaji wake vizuri mno ukilinganisha na vilabu vingine.
Africa Fact Zone imemtaja mlinzi wa timu ya Taifa ya Tunisia 🇹🇳 na klabu ya Al ahly, Ali Maaloul ndiye mchezaji anaelipwa pesa ndefu pamoja na Mshambuliaji raia wa Ufaransa, Anthony Modeste . Wote wawili uweka kibindoni fedha za Tanzania 🇹🇿 bilioni 3.75 kwa mwaka.
WACHEZAJI WANAOLIPWA PESA NDEFU AFRIKA.
1. Ali Maaloul- Al Ahly 3.75 TZS bilioni
2. Anthony Modeste- Al Ahly 3.75 TZS bilioni
3. RAMADAN SOBHI – Al Ahly 3.65 TZS bilioni
4. Percy Tau Muzhi – Al Ahly 3 TZS bilioni
5. Keagan Dolly – Kaizer Chiefs 2.97 TZS bilioni
7. MOHAMMED AWAD – Zamalek 2.50 TZS bilioni
8.Hussein El shahat – Al Ahly 2.50 TZS bilioni
9. Ramy Rabia & Aliou Dieng – AL AHLY 2.25 TZS bilioni
10. Abdallah El-said – Pyramid 2.17 TZS bilioni