DALILI AMBAZO HUTOKEA KWA MWILI WA MWANAMKE ANAETAKA KUFANYA MAPENZI

0:00

MAPENZI.

Mwanamke anapokuwa tayari kwaajili ya kufanya mapenzi, uke wake huwa unalainika au kuwa na majimaji.

DALILI NYINGINE NI KAMA:-

1. Kisimi huwa kinajaa maji na kuvimba au kutanuka

2. Sehemu ya ndani ya jicho (pupil) huwa inaongezeka ukubwa

3. Mdomo huwa mweusi au mwekundu

4. Maziwa huwa yanatanuka au kuwa magumu

5. Mapigo ya moyo kwenda kasi

6. Upumuaji huwa unaongezeka mpaka hata sauti kutoka

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Euro 2024 was not just a historic...
Four stalwarts - Ilkay Gundogan, Thomas Muller, Manuel Neuer and...
Read more
Watu 11 wafariki kiwanda cha Sukari
HABARI KUU Watu 11 wamefariki Dunia kufuatia Hitilafu ya mitambo...
Read more
We Are Are Fighting A War —...
The Defence Headquarters has described the recent bombings in Borno...
Read more
CHANZO CHA MOTO KARIAKOO CHAANIKWA ...
MAGAZETI Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za...
Read more
Viwango vya bei za mafuta vyashuka
Bei ya mafuta nchini kwa mwezi Juni imeshuka ambapo katika...
Read more
See also  USIOE AU KUOLEWA KWASABABU HIZI

Leave a Reply