RWANDA NA KENYA WANA MGOGORO HUU

0:00

HABARI KUU.

Mamlaka inayohusika na mambo ya Afya ya nchini Rwanda 🇷🇼 imeamua kurudisha dawa za fangasi zilizotoka nchini Kenya kwasababu zilizoelezwa ni za kiusalama.

Mamlaka ya chakula na dawa nchini Rwanda (RFDA) imewaagiza waagizaji kurudisha tembe zote za fluconazole milligrams 200 zinazotengenezwa na universal Corporation, kampuni ya Kenya.

Pia imetoa amri kwa wasambazaji wadogo na wenye vituo vya afya kuacha mara moja kusambaza dawa hizo na kuzirejesha walikozipata.

Sababu iliotajwa ya kusitisha matumizi ni kuwa mzalishaji wa tembe hizo amebadili rangi kutoka ile ya awali.

Kulingana na RFDA, vifurushi vinne vya jumla vya tembe za fluconazole milligrams 200 zilizoingizwa nchini humo zilibadilika rangi na kuwa nyeupe baada ya kukaa kwenye kabati kwa muda mfupi.

Mamlaka hiyo imesema kuwa pamoja na tembe hizo kubadika rangi tayari zilikuwa zimeingia kwenye mzunguko nchini Rwanda.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

FIFA announced the inaugural FIFA Club World...
On December 5, football fans around the globe will eagerly...
Read more
MAGAZETI YA LEO AGOSTI 3,2023
Dar es salaam Hujambo Mtanzania popote pale ulipo kwenye jamhuri...
Read more
Northeastern MPs Convene in Mombasa to Address...
A group of Members of Parliament from the northeastern region...
Read more
Convener of the Yoruba Nation movement, Chief...
In a statement yesterday, Igboho defended President Bola Ahmed Tinubu’s...
Read more
MIKE TYSON AKIRI KWASASA YUKO VIZURI BAADA...
Mwana-Masumbwi mkongwe Mike Tyson (58), ameripotiwa kuugua juzi akiwa kwenye...
Read more
See also  KELVIN KANGETHE AKAMATWA KENYA BAADA YA KUTOROKA

Leave a Reply