MAPENZI
Ni jambo la kawaida kwa mwanaume kuomba penzi mnapokuwa kwenye mahusiano, hii inabaki kwako kama binti kwamba kufanya mapenzi sio jambo kamilifu.
Kuna mambo mawili ambayo huwa yanafanya mabinti kulalamika kuhusu kufanya mapenzi;-
1. Baada ya kumpa penzi alinikimbia
2.Nilipomnyima penzi ndio maana alinikimbia
Binti anayegawa penzi na anayekataa huwa wanalalamika. Lakini tofauti ni hii;-
Mabinti ebu sikiliza, kufanya mapenzi huwa akumalizi hamu ya kufanya mapenzi kwa mwanaume. Kama huna cha kumpa mwanaume ni bora ubaki pekee yako.
Hakuna mwanaume ataendelea kukupenda kisa eti umempa nafasi ya kufanya mapenzi.
Wanaume wanapenda
Binti mwenye akili
Binti mwenye mawazo ya kimaisha
Binti mwenye heshima
Binti anayejituma au mwenye bidii na kazi
Binti anayejua kupika au kufanya kazi zote za nyumbani
Binti jasiri
Binti mzalishaji
Binti mwenye mawazo ya Maendeleo sio anayeshinda kwenye kioo akijiremba kwa rangi mbalimbali
Binti mwenye akili kichwani sio mwenye makalio makubwa wala mwonekano mzuri ,kwani mwonekano unaweza kuchuja lakini akili kichwani haichuji
Siku hizi Kufanya mapenzi ni jambo la kawaida ambalo yeye anaweza kupata hasa akiwa na hela zake.