MAPENZI.
Huu ndio upande wa pili wa Mwanamke ambaye anaweza kukutoa machozi ukimtafuta anakukataa.
1. MWANAMKE HAWEZI KUPENDA WANAUME WAWILI KWA WAKATI MMOJA.
Daima Mwanamke ana mtu mmoja. Kama sio wewe ni mwingine. Hakuna njia mbili kwake. Ndio maana unaweza kuona wanawake wawili wakipigana kwaajili ya mwanaume mmoja wanayempenda. Mwanamke anayekupenda anaweza kunusa hata kitu chochote kilichogusa nguo yako.
2. TAMAA YA KUJAMIANA NI MARA MBILI ZAIDI YA ILE YA MWANAUME.
Usidhani ,wanaume ndio upenda zaidi kujamiana zaidi ya wanawake. Isipokuwa Mwanamke hawezi kukwambia umfanyie kitendo hicho mpaka atasubiri wewe uanze kwasababu ya asili . Hii ni kwasababu wanawake hawataki kukutana na aibu ya kukataliwa ,kubezwa na hata kutukanwa mpaka pale ambapo mwanaume atajitokeza kuomba jambo hilo.
3. MWANAMKE HANA SIRI KWA MTU ANAYEMPENDA HATA KAMA AKIMZUIA KUSEMA.
Huenda asiwe wewe,akawa yule ambaye atamfanya afunguke,aseme kila kitu kilichojificha, ambaye atamfanyia kile ambacho wewe huwezi na huyo ndiye atamfaidi Mwanamke kwa siri zake zote nzito.
Na,pia, tambua kujifanya analia sijui aibu hiyo ni uongo kwani Mwanamke ana uwezo wa kukudanganya kupitia machozi mpaka akakuaminisha kuwa ni kweli. Wanawake ni mafundi wa uongo.
4. UKICHEPUKA NA MWANAMKE AKAJUA NA ASIKUFANYIE VURUGU YOYOTE ,TAMBUA CHUKI ZOTE HUWA ANAZIELEKEZA KWA HUYO MWANAMKE ULIYECHEPUKA NAE.