KANUNI 14 ZINAZOWEZA KUKUONGOZA KWENYE MAHUSIANO

0:00

MAPENZI.

Mwongozo ni kama katiba ilivyo ambako kanuni na sheria zinatungwa ili kuongoza watu na vilevile hili uwe na mahusiano mazuri lazima uwe na mwongozo.

1. Usimkatishe tamaa Mwanamke ambaye ni mwaminifu kwako mpaka akakuchoka

2. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayekutaka na mtu anayewekeza nguvu zaidi ili kukutunza.

3. Mawasiliano na kuaminiana ni nguzo mbili za upendo

4. Usimpende mtu ambaye amemuacha mpenzi wake kisa wewe kwani ipo siku nawe atakufanyia hivyo.

5. Mwanaume wa kweli hawezi kumkatia tamaa Mwanamke anayependa ,haijalishi atapitia mangapi?

6. Usijaribu kucheza na hisia za mtu kwasababu ya kujiangalia wewe mwenyewe

7. Kosa kubwa ambalo unaweza kufanya ni kwenda mbali kwa mtu anayekusubili. (Soma hapa tena kama hujaelewa)

8. Kwasababu ya mwanaume au Mwanamke mmoja alikufanyia jambo baya,sio sahihi kuwakatia watu wote tamaa.

9. Chunga kauli zako. Wanawake wana uwezo wa kukumbuka mazuri yote uliowahi kusema na pia mabaya wakayatumia kama fimbo kukuchapa.

10. Ukiona mahusiano mazuri ya watu,tambua kuna njia nzuri wameiona ndio wanatembea nayo.

11. Mpende anayekupenda

12. Sio vema kulialia

13. Kuamua kuendelea na maisha yako pale ambapo unaona mambo sio mazuri sio vibaya.

14. Ni vema kuwa pekee yako kwasababu za Kimsingi kuliko kuendelea na mtu kwasababu zisizo na msingi.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Kwanini Gen Z wanaandamana Kenya?
Generation Z nchini Kenya wameendelea na maandamano wakimshinikiza Rais William...
Read more
KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO IIJUMAA...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Star-studded Saudi Arabian, Japanese and Chinese clubs...
Led by Cristiano Ronaldo, Riyad Mahrez and Aleksandar Mitrovic, Saudi...
Read more
Tabby Brown, model and ex- football star...
Ex- Chelsea and Arsenal star Model Tabby Brown, passed away...
Read more
RASHFORD APIGWA NA MPENZI WAKE HOTELINI
NYOTA WETU
See also  WHAT HURTS A WOMAN IN MARRIAGE
Marcus Rashford wa Manchester United alizozana na mpenzi...
Read more

Leave a Reply