MAPENZI
Hii ni kwa walioko kwenye ndoa pekee .
Wakati sahihi wa kushiriki kwenye tendo la ndoa ni huu hapa:-
1. Kabla ya kusafiri
2. Baada ya kutoka safari
3. Kuanzia siku ya pili mpaka ya nne baada na kabla ya Mwanamke kuingia na kutoka kwenye siku hasa kwa mwenye siku zenye mpangilio mzuri wa mzunguko.
4. Kwa wanaotafuta mtoto ni pale tu yai linapopevuka
5. Kipindi chote cha UJAUZITO (miezi 9) kama unaweza kuhimili
6. Mnapokuwa na ugomvi
7. Mnapokuwa mna hisia za upweke
8. Usiku wenye mvua na baridi juu
9. Asubuhi sana hasa saa 10 usiku
10. Siku ya sherehe . Mfano Kipaimara ya watoto au unapomaliza ujenzi na kuhamia kwenye nyumba yenu mpya.
11. Unapokuwa una uhitaji wa tendo na kukuta mwenza wako yupo macho
12. Pale kila mmoja anapokuwa na uhitaji wa tendo
13. Baada ya kumaliza tofauti zenu kwenye ndoa.