0:00
MICHEZO
Klabu ya Juventus ya Italia imeripotiwa kufanya mazungumzo na Nyota wa zamani wa Liverpool na timu ya Taifa ya Uingereza, Jordan Henderson juu ya kumsajili kwenye kikosi hicho akitokea Al-Ettifac ya Saudia Arabia.
Henderson mwenye umri wa miaka 33 amekuwa akifukuziwa na klabu ya Ajax kwa siku za hivi karibuni.
Related Posts 📫
AUXERRE, France, 🇫🇷 - Ligue 1 leaders Paris St Germain...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
HABARI KUU
Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba, Amour Hamad Salehe,...
When you notice any of these signs in your premarital...
PARIS, -
French billionaire and LVMH(LVMH.PA), opens new tab chairman...