0:00
MICHEZO.
Real Madrid imetwaa Ubingwa wa Spanish Super Cup 2024 kufuatia ushindi mnono wa bao 4-1 dhidi ya washindani wao Barcelona katika Dimba la KSU ,Riyadh Saudia Arabia.
Madrid walijipatia karamu ya mabao hayo kupitia kwa Vin Jr 7″10″ 39″ ,Rodrygo 63″ na huku Barcelona ikijipatia bao la kufuta machozi la Lewandowski 63″.
Kufuatia ushindi huo,basi Real Madrid inakuwa imetwaa kombe hili mara 13 nyuma ya Barcelona yenye jumla ya makombe 14.
Related Posts 📫
DR Congo, Egypt, Uganda and Senegal secured their spots at...
Dadaab Member of Parliament Farah Maalim has been removed from...
Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar,...
❤ 1) FEAR (MARRIAGE PHOBIA) Many bachelors actually fear Marriage...
Social media is abuzz with reports of the unfortunate passing...