TABIA 9 AMBAZO MWANAUME ANATAKIWA KUMZOESHA MKE WAKE
MAPENZI 1. Kumbusu mkeo hata kwenye mazingira ambayo alikuwa hategemei. Kufanya hivi,kutamfanya ajione anapendwa. 2. Mwambie "unampenda" hasa kwenye mazungumzo yenu. Utaliona tabasamu lake lote. 3. Mtumie ujumbe wa kumjulia…