TABIA 9 AMBAZO MWANAUME ANATAKIWA KUMZOESHA MKE WAKE

0

0:00

MAPENZI

1. Kumbusu mkeo hata kwenye mazingira ambayo alikuwa hategemei. Kufanya hivi,kutamfanya ajione anapendwa.

2. Mwambie “unampenda” hasa kwenye mazungumzo yenu. Utaliona tabasamu lake lote.

3. Mtumie ujumbe wa kumjulia hali hasa mchana anapokuwa na mambo mengi. Hii itamfanya ajione muda wote unamuwaza.

4. Msisitize mkeo kwamba bila kula nae chakula huwezi kushiba na chakula akitakuwa kitamu. Hii umpa ajione wa kipekee sana.

5. Muwekee vipande vya karatasi vyenye machapisho mbalimbali, hivi viweke kwenye mto kitandani, kwenye mkoba wake na sehemu zote ambazo ni rahisi kuona. Kufanya hivi,utaonekana unamjali kihisia.

6. Msaidie mkeo kazi za ndani. Hapa utamfanya ajione ni sehemu yako au hajatengwa.

7. Mshike au piga makalio yake wakati anapika. Hii itampa kichwa ,kwa kujiona yeye ni mwanamke

8. Jifanye kama umesahau siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake halafu mchana wake ,mpe zawadi zake. Jambo hili lina mvuto wa kimapenzi.

9. Mwisho, jenga mazoea ya kumpa simu yako ambayo tayari ushafanya mazungumzo na wazazi wake. Hii itamfanya aone una upendo wa dhati kwa familia yake.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  WHAT HURTS A WOMAN IN MARRIAGE
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading