BURUNDI NA CONGO ZAUNGANA KUIPIGA RWANDADiscoverCars.com

0:00

HABARI KUU.

Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amesema atawasaidia vijana wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo katika kupambana na adui yao.

Katika mkutano na vijana amefahamisha kuwa adui wa Burundi na CONGO ni Rwanda kwahiyo wanapaswa kupambana na adui ili waweze kumshinda.

Pia ameinyoshea kidole Rwanda kwa kuwa chanzo cha usalama mdogo unaoripotiwa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki.

“Tulifunga mipaka kwasababu walitudanganya na wanaendelea kuwahifadhi waasi wa nchi wa Red Tabara “

Amesema Evariste Ndayishimiye.

Matamshi hayo hayajawafurahisha viongozi wa Rwanda ambapo kupitia mtandao wa kijamii wa X Balozi wa Rwanda nchini Uholanzi, Olivier Nduhungirehe amesema kuwa matamshi yake yanaashiria Mapinduzi dhidi ya Rwanda.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Barring any unforeseen circumstances, President Bola Tinubu...
This will effectively mark the start of the implementation of...
Read more
RAIS WA HUNGARY AJIUZULU WADHIFA WAKE
HABARI KUU Rais wa Hungary amejiuzulu kutokana na ghadhabu ya...
Read more
SHIRIKA LA NDEGE LATOA UFAFANUZI HUU JUU...
HABARI KUU Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa inayosambaa...
Read more
Salah helps Egypt to victory as Tunisia...
CAPE TOWN, Mohamed Salah was on target to help...
Read more
Jicho la Uchambuzi Mchezo wa Yanga na...
Mimi napenda sana debate | Midahalo, kujadili hoja kwa mifano,...
Read more
See also  ALIOU CISSÉ KOCHA MKUU SENEGAL 2026

Leave a Reply