0:00
MICHEZO
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) imetozwa kiasi cha dola 10,000 Shirikisho la mpira wa miguu Afrika ( CAF) kutokana na uvunjaji wa kanuni uliofanywa na kocha mkuu wa Taifa stars ,Adel Amrouche hivi karibuni uliosababisha kocha huyo kupewa adhabu ya kufungiwa mechi nane.
TFF imetozwa fedha hizo kutokana na kuvunja kanuni ya 110 ya fainali za mataifa ya Afrika ( AFRICON) inayotaka timu shiriki kuthibiti mwenendo wa ofisa au maofisa wake.
“Chama shiriki kinapaswa kuwajibika kwa tabia za wahusika wa msafara wake katika kipindi chote hadi mwisho wa mashindano “
Ufafanuzi wa kanuni hiyo.
Related Posts 📫
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za...
The two football superstars were involved in the draw for...
POLITICS
Atiku Abubakar, the former Vice President, has stated that...
NYOTA WETU.
ASAP ROCKY hakuacha tabasamu lake lififie alipokuwa akijadili...
Appearing on Uruguayan TV in June, Bentancur was asked by...