0:00
HABARI KUU
Shirika la ndege la Japan (JAL) ,limemtangaza Rais wake wa kwanza Mwanamke ambaye ni mhudumu wa zamani katika ndege zao.
Mitsuko Tottori ,alijiunga na JAL mnamo mwaka 1985 ,na kuitumikia katika nafasi mbalimbali huku akipanda vyeo hadi kufikia Afisa Mtendaji mkuu.
Akizungumza na Waandishi wa habari Bi. Tottori amesema
“Wapo wanawake wengi wanaohangaika kufikia nafasi za juu kazini, natumai kuchaguliwa kwangu kuwa Rais wa JAL kutawapa motisha”.
Japan ni miongoni mwa nchi zinazohangaika na pengo la usawa wa kijinsia kazini ikiwepo malipo kati ya wafanyakazi wa jinsia tofauti.
Related Posts 📫
BREAKING NEWS
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Iran, Ebrahim Raisi...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
HABARI KUU
Mgomo wa madaktari katika Hospitali za Umma kote...
Germany’s 'Invincibles' Bayer Leverkusen opened their Champions League campaign with...
HABARI KUU.
Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Deogratias Ndejembi kuwa...