0:00
NYOTA WETU.
Polisi wanawashikilia watoto wawili wa msanii maarufu wa Nigeria mwigizaji, John Okafor maarufu Mr Ibu kwa madai ya kuiba Tsh 153 fedha za michango ya matibabu ya Mr Ibu ,na kujaribu kutorokea nchini Uingereza.
Onyeabuchi Okafor na Jasimine Okekeagwu wanadaiwa kudukua taarifa za kibenki za Mr. Ibu na kuiba fedha hizo ambazo ni kwaajili ya matibabu ya nyota huyo ambaye aliugua kwa muda mrefu na kuomba kuchangiwa matibabu yake baada ya kukatwa mguu mmoja.
Aidha,kati ya fedha hizo mamlaka imefanikiwa kurudisha takribani milioni 139 huku watuhumiwa hao wakiachiwa kwa dhamana huku wakitarajiwa kufikishwa Mahakamani Machi, 2024.
Related Posts 📫
The Miami Heat unveiled a statue of franchise legend Dwyane...
Waandamaji zaidi ya Watano wameuwawa kwa risasi wakati Polisi...
LOVE ❤
1. Communication: Communication is the life blood of...
HABARI KUU
Tanzania na Misri zimekubaliana kushirikiana katika ujenzi na...