0:00
MICHEZO
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limemfutia adhabu zote kocha wa timu ya Taifa ya Morocco, Walid Regragui mara baada ya kuonekana hana hatia.
Regragui alifungiwa michezo minne pamoja na adhabu ya pili ya kufungiwa miezi 12 kutojihusisha na soka ndani na nje ya bara la Afrika.
Adhabu zote zimefutwa na sasa yupo huru na kuendelea na shughuli zake ndani ya timu ya taifa ya Morocco.
Regragui atakuwa kwenye benchi la ufundi la Morocco itakapoikabili Jamhuri ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ya siku ya Jumanne Januari 30,2024.
Related Posts 📫
CELEBRITIES
The Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) has filed...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
MEXICO CITY, - Israeli driver Robert Shwartzman collected a five-place...
MICHEZO
Mchezaji Heritier Luvumbu Nzinga amesaini makataba wa msimu mmoja...