MAMBO 11 AMBAYO MABINTI WENGI UDANGANYWA NAYO ILI WATOE MZIGO >

0:00

MAPENZI

1. Furaha ya Nitakuoa muda sio mrefu.

Mwanaume ataweka shinikizo kwamba ukimpa basi atafanya haraka kukuoa kinyume na hapo hawezi kukuoa.

2. UKINIPA NITAAMINI KWELI UNANIPENDA.

Kujamiana kabla ya ndoa ni uzinzi ,kutoa penzi sio jambo la kuonyesha mapenzi ya dhati. Upendo wa kweli una stamala yenye kuheshimu na kumtii Mungu.

3. NINA WANAWAKE KIBAO WANANIPENDA.

Ili unipate lazima uhakikishe unautunza mwili wangu,pale binti atakapoonyesha ulegevu wa kwamba bila huyu mwanaume basi atatimiza takwa hilo. MUNGU ndio ana ndoa ,usiogope.

4. KILA BINTI HUWA ANAFANYA HIVI KWAAJILI YA MTU WAKE.

Uongo huu huwa unawaingiza kwenye mtego mabinti na kuona bora wawape ili wasiwe na sababu ya kuwaacha.

5. TUJARIBU KUFANYA TUONE KAMA TUNAENDANA.

Suala hapa sio kujaribiana maana nyie sio mabomu,ni suala la kuwa na subira mpaka muda sahihi ufike.

6. KUJAMIANA NDIO UDHAIFU WANGU NISAIDIE.

Wewe, binti sio Daktari kutoa huo msaada na mwili wako sio dawa au tiba ya ngono.

7. UKINIPA UTANISAIDIA KUACHANA NA UZINZI.

Ugonjwa wa uzinzi ni suala la mtu kupata ushauri wa kisaikolojia na pia maombi, hauzuiliki kwa kujamiana.

8. SITOKUOA TUSIPOPIMANA KWENYE SUALA ILI.

Wewe sio kipande cha nyama cha kuonja na kujua kama ni kizuri au la! Tendo ili ni takatifu linahitaji muda sahihi.

9. SITAKI KUKUPOTEZA,UKINIPA TUTAKUWA TUMEWEKA AGANO LA NDOA.

Mwanaume wa aina hii ni mwindaji wa kujamiana tu na sio muoaji,kuwa makini.

10. BILA KULALA NA WEWE SIWEZI KUONA KAMA WEWE NI MZURI.

Binti unatakiwa kujitunza kwa gharama yoyote ile mpaka utakapopata mtu sahihi.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

See also  10 TRAITS IN A WOMAN THAT ATTRACT A MAN

Related Posts 📫

Kwanini Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) limechelewa kutumika...
Daraja la John Magufuli (Kigongo- Busisi) lenye urefu wa...
Read more
JINSI YA KUFAHAMU UNAYEMPENDA NAE ANAKUPENDA PIA
MAPENZI Imekuwa ni jambo gumu kufahamu ni kweli mtu unayempenda...
Read more
5 THINGS MORE VALUABLE THAN A WOMAN'S...
Dear Bachelor,If the major Reason you are marrying a lady...
Read more
Wizkid made indirect and critical remarks towards...
CELEBRITIES Music producer Don Jazzy responds to Wizkid’s recent comment...
Read more
Conte happy with team response as Napoli...
TURIN, Italy, - Napoli coach Antonio Conte was pleased to...
Read more

Leave a Reply