0:00
MAPENZI
1. Sio jambo jema kumkosoa mpenzi wako mbele ya watu. Kufanya hivi ni kumfanya mwenza wako aone kama umemdhalilisha.
2. Unapotaka kumkosoa mpenzi wako ongea kwa sauti ya upole.
3. Usimkosoe mpenzi wako kama vile yeye ni mtoto . Kumwambia ,mbona kama unafanya mambo ya kitoto nk . Kumkosoa kwa aina hii ni kumvunjia heshima.
4. Unapokosoa kosoa kwa lugha ya Upendo.
5. Usimkosoe mpenzi wako kama mke au mumeo mbele ya watoto
Related Posts 📫
-Female Psychology Thread-
Reason 1: Penetration Isn’t Everything
Let’s start with the...
Chelsea Football Club may abandon the idea of a costly...
President William Samoei Ruto has been actively campaigning across the...
Former Olympique de Marseille midfielder Abdelaziz Barrada has died at...