0:00
HABARI KUU.
Mahakama ya mjini Mombasa imemhukumu Mtanzania Mwanamke kifungo cha miaka 45 jela baada ya kumkuta na hatia ya kusafirisha Dawa za kulevya aina ya Heroine zenye thamani ya milioni 253,206,340.
Maimuna Jumanne Amir alikamatwa Marchi 14,2021 akiwa na Heroine kilo 5.3 zilizofichwa katika begi la kusafiria akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Moi huko Mombasa
Related Posts 📫
CELEBRITIES
Music producer Don Jazzy responds to Wizkid’s recent comment...
Novak Djokovic has withdrawn from the Paris Masters, both he...
NYOTA WETU
Simba SC inakamilisha mazungumzo na beki wa kushoto...