SADIO MANE KUFUNGA NDOA LEO
NYOTA WETU. Imefahamika tayari kuwa nyota wa timu ya Taifa Senegal na mshindi mara mbili wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika, Sadio Mane atafunga ndoa leo Januari 7,2024 ,…
NYOTA WETU. Imefahamika tayari kuwa nyota wa timu ya Taifa Senegal na mshindi mara mbili wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika, Sadio Mane atafunga ndoa leo Januari 7,2024 ,…
NYOTA WETU. Mwanariadha wa zamani wa mbio fupi . Oscar Pistorius ameachiwa huru kutoka gerezani kwa masharti baada ya kufungwa kwa takribani miaka 11 kwa kosa la kumuua aliyekuwa mpenzi…
HABARI KUU. Mamlaka inayohusika na mambo ya Afya ya nchini Rwanda 🇷🇼 imeamua kurudisha dawa za fangasi zilizotoka nchini Kenya kwasababu zilizoelezwa ni za kiusalama. Mamlaka ya chakula na dawa…
HABARI KUU. Mamlaka inayohusika na mambo ya Afya ya nchini Rwanda 🇷🇼 imeamua kurudisha dawa za fangasi zilizotoka nchini Kenya kwasababu zilizoelezwa ni za kiusalama. Mamlaka ya chakula na dawa…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
NYOTA WETU. Klabu cha karne , AL AHLY ya Cairo, Misri ndio klabu inayoongoza kwa kulipa wachezaji wake vizuri mno ukilinganisha na vilabu vingine. Africa Fact Zone imemtaja mlinzi wa…
NYOTA WETU Nahodha wa kikosi cha "Black Stars " timu ya taifa ya Ghana, Andre Ayew anatarajia kuweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyeshiriki Mara nyingi kwenye michuano ya kombe la…
HABARI KUU. Upinzani nchini DRC umewasihi raia kushirikiana nao kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kwa kile walichosema ni udanganyifu na dosari kubwa . Uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa mwaka…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿. VICHWA VYA MAGAZETI
HABARI KUU Taasisi ya Thabo Mbeki imepinga vikali tetesi zilizovuma kuwa kiongozi huyo wa zamani wa Afrika kusini ameaga Dunia. Mapema Januari 3,2024 ya hivi leo kwenye mitandao ya kijamii…