0:00
MICHEZO
Rachael Kundananji ,Mchezaji mwenye umri wa miaka 23 kutoka Zambia amekuwa mwanasoka ghali zaidi kwa Mwanamke katika historia baada ya kujiunga na Bay Fc ya Marekani akitokea Madrid CFF kwa bilioni 2.18 za Tanzania.
Amehamia Marekani baada ya kuhudumu kwa muda wa miezi 18 huko Madrid akifunga jumla ya mabao 33 ya Liga F kwenye jumla ya michezo 43.
ORODHA YA WACHEZAJI WA KIKE WALIOSAJILIWA BEI MBAYA
1. Rachael Kundananji- 2.18 bilioni (Bay F)
2. Keira Walsh – 1.3 bilioni ( Barcelona)
3. Mayra Ramirez – 1.22 bilioni ( Chelsea)
4. Jill Roord – Milioni 954.7 ( Manchester City)
5. Kyra Cooney-Cross – Milioni 954.7 (Arsenal
Related Posts 📫
The Nigerian Communications Commission has announced plans to take enforcement...
Tottenham Hotspur head coach Ange Postecoglou is solely focused on...
News about the transfer of Michael Olise is gaining momentum!...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa orodha ya majeruhi waliopokelewa hospitalini...