HABARI KUU.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Judith Kapinga amesema mgao wa umeme utamalizika kufikia mwezi Machi, 2024 baada ya majaribio ya mtambo namba tisa wa uzalishaji umeme katika Bwawa la Mwalimu Nyerere kufanyiwa majaribio jana.
Kapinga ameyasema hayo leo,Februari 16,2024 wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa LUPEMBE, Edwin Swale aliyehoji taarifa za mitandaoni kuwa leo ingekuwa siku ya mwisho ya mgao wa umeme nchini.
Hata hivyo, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Akson ameipa serikali mpaka mwezi Juni ,2024 ili kusiwe tena na mgao wa umeme nchini.
Related Posts 📫
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.