JAPHET MAGANGA AFUKUZWA KAZI CWT

0:00

HABARI KUU

Baraza kuu la Chama Cha Walimu ( CWT) limemsimamisha kazi ya Ukatibu Mkuu Japhet Magaga.

Hatua hiyo inajiri baada ya mwajiri wake, Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Temeke kumfuta kazi.

Mbali ya hilo,kutokana na tukio lililotokea St Gaspar jiji Dodoma ambapo polisi walimkamata Maganga na wengine 10 kwa kusababisha vurugu.

Rais wa CWT, Leah Ulaya ameyasema hayo leo Februari 17,2024 kwenye kikao cha baraza hilo kilichofikia uamuzi huo wa kumfuta kazi.

Chanzo cha kufutwa kazi ni kitendo cha Mkurugenzi kumnyima kibali cha kufanya kazi CWT.


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  MFAHAMU MSHAMBULIAJI MPYA WA AZAM JHONIER BLANCO
Don't miss out!
Invalid email address

By Mujuni Henry

JUNIITV

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner                            

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading