MICHEZO
CAF imemfungia mchezaji wa timu ya Taifa ya Mali beki kisiki, Hamari Traoŕe michezo minne kufuatia kuonyesha utovu wa nidhamu dhidi ya mwamuzi aliyechezesha mechi kati ya Côte d’ivoire dhidi ya Mali kwenye Mashindano ya Mataifa ya Afrika nchini Côte d’ivoire.

Pia, Shirikisho la mpira wa miguu Mali limetozwa kiasi cha dola 10,000 huku kwa upande wa Côte d’ivoire wakitozwa faini ya dola 5,000 kwa utovu kwenye mchezo huo ambao Côte d’ivoire waliibuka washindi kwa kuichapa 2-1 kwenye muda wa nyongeza.

Côte d’ivoire waliibuka washindi wa kombe hilo kwa kuichapa Nigeria 2-1 kwenye fainali hiyo.

Related Content
Related News 
MAPENZI
1. AMANI.
Jambo kubwa ambalo unaweza kumpa mwanaume sio...
Tems, the Nigerian songstress also recognized as Temilade Openiyi, has...
Hali ilivyo katika mitaa mbalimbali ya soko kuu la Kariakoo...