ISRAEL YASHITAKIWA MAHAKAMA KUU YA UMOJA WA MATAIFA KWA KUISHAMBULIA PALESTINE
HABARI KUU Mahakama Kuu ya Umoja wa Mataifa leo Jumatatu inafungua wiki ya vikao kusikiliza hoja za kisheria kuhusu madai ya Israel kuyakalia kwa mabavu maeneo ya Wapalestina, huku zaidi…