MAKALA
Ripoti ya Ukuaji wa Uchumi iliyotolewa na Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) inaeleza kati ya Nchi 20 zitakazokuwa na Ukuaji wa Kasi ya Uchumi Duniani kote kwa Mwaka 2024, Nchi 11 zitatoka Barani Afrika
Kanda ya Afrika Mashariki imetajwa kuwa itaendelea kuongoza Ukuaji wa Uchumi katika Kanda zote za Afrika ikiwa na Ukuaji wa kiwango cha 5.1% kwa Mwaka 2024 huku ikitarajiwa kufikia 5.7% Mwaka 2025
Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokuwa na Ukuaji wa Uchumi wa 6%.
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.