0:00
HABARI KUU
Senegal bado ipo katika hali ya sintofahamu baada ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa Rais uliokuwa umepangwa kufanyika Februari 25,2024.
Katika hali isiyotegemewa Rose Wardini, aliyekuwa miongoni mwa wagombea 20 amejiondoa kwenye kinyang’anyiro hicho cha Urais uliosogezwa hadi Desemba 2024.
Kwa upande wa wagombea 15 walioidhinishwa kwa Uchaguzi wa urais wanataka Uchaguzi kufanyika kabla ya Aprili 2, tarehe ya kumalizika kwa muda wa muhula wa Rais aliyepo Madarakani.
Miongoni mwa waliosaini waraka wakitaka uchaguzi kufanyika kabla ya tarehe 2,Aprili ni pamoja na Bassirou Diomaye Faye,Khalifa Sall, Thierno Alassane Sall, Malick Gakou na Aly Ngouille .
Related Posts 📫
Nigerian Pastor Jerry Eze, the visionary founder of Streams of...
Liverpool enjoyed a perfect day as they came from behind...
Bellamy's adventurous new playing style was evident as Wales sparkled...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za...