0:00
MICHEZO
FC Bayern Munich na kocha wake mkuu, Thomas Tuchel wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wao Juni 2024. Awali mkataba huo ulitarajiwa kumalizika Juni 2025.
Hata hivyo, Tuchel amesema kuwa kwa muda uliobaki yeye na benchi la ufundi watafanya kila wawezalo kuiwezesha timu hiyo kufanya vizuri.
Raia huyo wa Ujerumani alichukua mikoba ya Julian Nagelsmann mwezi Machi 2023. Bayern ipo alama nane nyuma ya Bayer Leverkusen ambayo ina alama 58.
Related Posts 📫
MICHEZO
Msanii kiongozi wa Kundi la Reggae la Morgan Heritage,...
MAKALA
Kuanzia leo tar.1 March 2024, vituo binafsi vya huduma za...
Holders Manchester United will travel to record 14-times winners Arsenal...
HABARI KUU
Rais wa Vietnam,Vo Van Thuong amewasilisha barua yake...