0:00

HABARI KUU

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Jean-Michel Sama Lukonde, amejiuzulu Jumanne Februarai 20,2024 na kusababisha kuvunjwa kwa ofisi yake, ofisi ya Rais ilitangaza katika taarifa kwa vyombo vya habari.

Jean-Michel Sama Lukonde aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hii ya Afrika ya kati yenye utajiri wa madini mnamo Februari 2021. Alikuwa na umri wa miaka 43 wakati huo.

Kujiuzulu kwa Lukonde kutamruhusu Rais Tshisekedi kumteua atakayekaimu nafasi hiyo kwa muda kabla ya uteuzi wa Waziri Mkuu .

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Minister of Women Affairs has initiated legal action against the Speaker of the Niger state
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading