0:00
HABARI KUU
Nyota wa zamani wa QPR, Manchester City na Timu ya Taifa England, Stan Bowles amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75 baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa ‘Alzheimer’
Bowles ambaye alikuwa mmoja wa vipaji bora nchini England wakati wake kama mchezaji aligundulika na ugonjwa wa neva mnamo 2015.
Taarifa iliyotolewa kwenye tovuti ya klabu hiyo QPR imesema: “Ni kwa moyo mzito tumegundua kwamba nyota wa QPR Stan Bowles amefariki dunia jioni ya leo (Jumamosi), akiwa na umri wa miaka 75.”
NB: ‘Alzheimer’s’ ni aina ya ugonjwa wa mfumo wa neva ambao kwa kawaida huanza taratibu na hatimaye huathiri kumbukumbu, fikra na tabia.
Related Posts 📫
Safia amemtangaza Pele kushinda nafasi hiyo leo Jumamosi, Juni 08,...
MASTORI
Duniani kila mmoja wetu angetamani kuwa na mtu anayeendana...
Former Kenyan Vice President Kalonzo Musyoka has submitted a detailed...
Vitu vitano vinavyo itofautisha yanga na FC ausberg ni.
Match fever.Kwa...
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema pendekezo...