0:00
MAKALA
Pamoja na Marais kuwa na ulinzi mkubwa lakini wapo Marais kwenye bara la Afrika waliouawa wakiwa madarakani.
ORODHA YA MARAIS
1. IDRISS DEBY- CHAD
Alikuwa Rais wa CHAD aliuawa Aprili 20,2021 kwa kupigwa risasi akiwa mstari wa mbele wa mapambano dhidi ya waasi wa FACT,Kaskazini mwa Chad. Mpaka anafariki,alikuwa amekaa madarakani kwa muda wa miaka 30.
Related News
The 22-year-old ended his four-year association with United on Wednesday...
Rais wa Rwanda Paul Kagame amesisitiza kuwa wapiganaji wa Kundi...
NYOTA WETU
Michael Jackson aliundiwa mfumo wa kucheza ambao ulipingana na...
HABARI KUU
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Katibu wa...