0:00
MICHEZO
Mwimbaji Kiongozi wa Bendi ya Reggae iliyoshinda tuzo ya Grammy ya Morgan Heritage, Peter “Peetah” Morgan amefariki dunia leo Februari 25, 2024 akiwa na umri wa miaka 46.
Peetah Morgan alikuwa mmoja kati ya watoto zaidi ya 20 wa Mwimbaji wa Jamaica, Denroy Morgan.
Kundi la Morgan Heritage liliundwa mnamo 1994 ndugu watano wa Morgan na kuachia albamu yao ya kwanza ya Miracles mwaka huo huo.
Related Posts 📫
Photos of Wole Soyinka, an 89-year-old Nobel laureate, have ignited...
NAIROBI, Kenya - Seneta wa Meru Kathuri Murungi amewashauri wabunge...
The High Court in Nairobi has issued conservatory orders suspending...