0:00
MICHEZO
Staa wa filamu nchini Marekani mwenye asili ya Kenya, Lupita Nyong’o amefunguka sababu zilizomfanya kutoka kwenye mahusinao yake ya awali na mwigizaji na Mtangazaji wa runinga Selema Masekela.
Mnamo Oktoba 2023 Lupita kupitia mtandao wake wa Instagram, alifichua kuwa yeye na aliyekuwa mpenzi wake tangu mwaka 2016, Selema Masekela wameachana.
Amefanyiwa mahojiano na Jarida la NET-A-PORTER, Lupita amefunguka sababu kubwa iliyopelekea kuvunjika kwa mahusiano hayo ni manyanyaso na kuumizwa kila mara katika penzi hilo.
“Nilikuwa nikiishi kwa huzuni na uchungu, niliangalia nguvu ya mitandao yangu ya kijamii nikagundua sina haja ya kujifanya mambo yapo sawa ndani wakati kiuhalisia sio kweli, sikutaka kuwa muongo” – Lupita.
Related Posts 📫
MICHEZO
Timu ya soka ya wanawake ya Twiga Stars imefuzu...
HABARI KUU
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
LOVE ❤
6 TOP REASONS YOU SHOULD PLAN YOUR SEX...
Bundesliga strugglers VfL Bochum have named former VfL Wolfsburg manager...
TURIN, Italy, 🇮🇹 - Juventus twice came from behind to...