AFIA GESTI AKIWA NA MPENZI WAKE

0:00

HABARI KUU



Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mahamudu Mbwana, miaka 44, Mkazi wa Mbezi Madale, jijini Dar es Salaam, amefariki dunia akiwa na mpenzi wake, kwenye nyumba ya kulala wageni Ya Another Coast, maeneo ya Mikumbi, Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, mkoani Lindi.

Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi, ACP Andrew Ngassa, amesema, baada ya mpenzi wake huyo kuhojiwa na polisi, alisema tarehe 26/2/2024, majira ya saa kumi alfajiri marehemu alianza kuishiwa nguvu na kuanza kukoroma.

Polisi baada ya kupata taarifa walifika eneo la tukio na kuukuta mwili wa marehemu, na walipopekuwa nguo zake walikuta dawa ya kulevya aina ya bangi kwenye mfuko wake wa suruali.

Marehemu alikuwa anafanyakazi kwenye kampuni ya Lujuni Costruction Limited, inayojishughulisha na ujenzi wa barabara, na tayari mwili marehemu umekabidhiwa kwa mwajiri wake.
Jeshi la polisi wanamshikilia mpenzi wake kwa mahojiano zaidi.


Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Orodha ya washindani wa Paul Kagame uchaguzi...
SIASA Tume Huru ya uchaguzi nchini Rwanda imewaidhinisha watu watatu katika...
Read more
JACOB ZUMA AENGULIWA KUGOMBEA UBUNGE
HABARI KUU Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma...
Read more
JESHI LA POLISI LAMTIA NGUVUNI ALIYESAMBAZA TAARIFA...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata...
Read more
HISTORIA YA DIDDY NA MATUKIO YA HATARI...
NYOTA WETU Novemba 4, 1969 alizaliwa mtayarishaji wa rekodi, rapa(mwimbaji),...
Read more
Alex Iwobi scores but Everton substitute Beto...
Everton substitute Beto headed a stoppage-time equaliser to earn a...
Read more
See also  SPIKA WA BUNGE ATOA YA MOYONI KUHUSU YANGA KUDHURUMIWA GOLI

Leave a Reply