MFAHAMU MSANII AYRA STARR WA NIGERIA

0

0:00

MICHEZO/BURUDANI

Staa mwimbaji wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria Ayra Starr (21) amefanya mahojiano na Billboard weekend iliyopita na kufunguka kuwa alihitimu chuo akiwa na umri mdogo sana, miaka 17 tayari alikuwa na degree.

Mkali huyo wa Mavin Records amefunguka kuwa mama yake alikuwa akimzuia kukimbilia kwenye muziki kabla hajahitimu masomo, kwasababu aligundua Ayra alikuwa akiutamani umaarufu katika umri mdogo. Hivyo Ayra alianza chuo akiwa na umri mdogo (miaka 14) na baada ya chuo akajitupa moja kwa moja kwenye muziki.

Ayra Starr ambaye ni mzaliwa wa Benin na baadaye kuhamia Lagos, Nigeria, amehitimu Shahada ya Uhusiano wa Kimataifa na Masuala ya Siasa katika Chuo cha Les Cours Sonou kilichopo Cotonou Benin aliposoma kwa miaka mitatu.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading