SABABU BILIONEA HARRY ROY VEEVERS KUTOKUZIKWA KWA MIAKA 10
HABARI KUU MJANE wa marehemu Harry Roy Veevers, raia wa Uingereza aliyekuwa mfanyabiashara mkubwa nchini Kenya na binti zake wawili, wamepinga mahakamani ombi la watoto wengine wa marehemu kuuondoa mwili…