0:00
MICHEZO
Jeshi la Polisi Afrika Kusini limekamata watuhumiwa sita wa mauaji ya rapper Kiernan “AKA” Forbes, aliyeuawa kwa kupigwa risasi nje ya mgahawa huko Durban, Februari 10, 2023.
Watuhumiwa wawili walikuwa na bunduki, wawili walipanga njama ya mauaji, na wengine wameshikwa nchini jirani ya Eswatini. Polisi, pamoja na Interpol na Eswatini, wanafanya kazi kuwarejesha watuhumiwa Afrika Kusini.
Jenerali Nhlanhla Mkhwanazi anasema uchunguzi umebaini kuwa AKA ndiye alikuwa mlengwa mkuu, alifuatiliwa kutoka uwanja wa ndege hadi hotelini, kisha Mgahawa na mpango ulikuwa kumpiga risasi ndani ya gari.
Related Posts 📫
Mwanaume mwenye uwezo wa kuzalisha anahitaji kuwa na mbegu zisizopungua...
HABARI KUU
Watu tisa wamefariki katika ajali ya gari iliyotokea...
Slovenia's Tadej Pogacar is "a gear ahead" of the rest...
Neglect – The same couple that spent all their dating...
HABARI KUU
"Mimi niliona ni goli"
Akizungumza na Idhaa ya Taifa...