0:00
MICHEZO
Kiungo wa Klabu ya Juventus na timu ya Taifa ya Ufaransa Paul Pogba amepigwa marufuku kucheza soka kwa miaka minne na Mahakama ya kupambana na dawa za kulevya nchini Italia.
Hukumu hiyo inaweza kumaliza safari ya soka ya Pogba, kwani mwezi ujao, atatimiza miaka 31.
Pogba alirejea Juventus kutoka Manchester United mnamo 2022 lakini alikabiliwa na majeraha, akicheza mechi 6 pekee Serie A, Juventus msimu uliopita na mbili msimu huu.
Related Posts 📫
Makala Fupi
Leo imekuwa siku ya kihistoria baada ya Mteule ,Mhadhama...
BARCELONA, Spain, 🇪🇸 - Alexander Sorloth struck deep in stoppage...
CELEBRITIES
Social media users have expressed surprise at a revelation...
Diri, also implored members of the newly constituted cabinet to...