RAIS ALI HASSAN MWINYI AFARIKI DUNIA

0:00

HABARI KUU

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi amefariki dunia leo Februari 29, 2024.

Kifo cha Mzee Mwinyi kimetamgazwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Mzee Mwinyi amefariki dunia majira ya saa 11 jioni katika hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

FORBES YAMTAJA RAIS SAMIA KWENYE WATU WENYE...
NYOTA WETU. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....
Read more
THE FULL MEANING OF THE WORD "WIFE"...
LOVE ❤ Some of people will ask, what is the...
Read more
20 SIGNS YOU HAVE FOUND TRUE LOVE❤.
1.👉 They love you unconditionally.2.👉 They stand by you &...
Read more
HOW TO LOVE YOUR WOMAN/ WIFE WITHOUT...
Look at her when she is talking with you Sometimes just...
Read more
Authorities Expedite Police Transfer in Kware to...
All police officers stationed at the Kware Police Station have...
Read more
See also  NCHIMBI AMTAJA SAMIA KUONGOZA KWA DEMOKRASIA

Leave a Reply