(Click on the star on form card to select)
BASHUNGWA AMPA MKANDARASI MIEZI MIWILI KUKAMILISHA UJENZI
HABARI KUU Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/S Reynolds Construction Company kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mikumi-Kidatu-Ifakara, sehemu ya Kidatu-Ifakara ( Km…