(Click on the star on form card to select)
MBWA WA RAIS JOE BIDEN COMMANDER NI HATARI
HABARI KUU Mbwa wa Rais wa Marekani Joe Biden aitwaye Commander aliwang’ata maafisa usalama kwenye matukio takriban 24, nyaraka zilizotolewa zimeonesha. Taarifa za maafisa usalama zinaonesha kiwango ambacho mbwa huyo…