WATU 7 WAKAMATWA KWA KUGOMEA CHANJO
HABARI KUU Watu saba wote Wakazi wa Kijiji cha Kalambo Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa, wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja Jela kila mmoja na Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Kalambo…
HABARI KUU Watu saba wote Wakazi wa Kijiji cha Kalambo Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa, wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja Jela kila mmoja na Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Kalambo…
HABARI KUU Mapambano ya kukabiliana na ujangili wa Faru nchini Afrika Kusini yamechukua sura mpya baada ya idadi ya faru waliouawa kuongezeka mwaka 2023. Mwaka jana faru 499 waliwindwa, ikiwa…
MICHEZO Msanii wa Marekani Sean Combs, maarufu kama P Diddy ameshtakiwa na mtayarishaji wa muziki ambaye anamtuhumu kwa kumshambulia kijinsia na kumlazimisha kufanya ngono na makahaba. Mtayarishaji huyo, Rodney “Lil…
HABARI KUU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kuwasili Nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu kuanzia February 29 hadi…
HABARI KUU Rais wa Marekani Joe Biden amesema anatumai kuwa hadi Jumatatu ya wiki ijayo vita ya Israeli katika Ukanda wa Gaza itakua imesitishwa. “Kwa hakika natarajia kufikia mwanzoni mwa…
MICHEZO Meneja wa Chelsea Mauricio Pochettino amesema wamiliki wa klabu hiyo wameonesha kumuunga mkono tangu alipopoteza mchezo wa fainali ya Carabao dhidi ya Liverpool. Pochettino alishutumiwa na mashabiki na hata…
MICHEZO Staa wa filamu nchini Marekani mwenye asili ya Kenya, Lupita Nyong'o amefunguka sababu zilizomfanya kutoka kwenye mahusinao yake ya awali na mwigizaji na Mtangazaji wa runinga Selema Masekela. Mnamo…
MICHEZO Licha ya kipaumbele cha Victor Osimhen msimu wa joto kuhamia Ligi ya Premia lakini bado haieleweki ni klabu gani itayonasa saini ya mkali huyo, ila taarifa zinaeleza kuwa Chelsea,…
HABARI KUU Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa kundi la waendesha bodaboda, leo Februari 27, 2024 wamelichoma moto na kuliteketeza basi linalodaiwa kuwa ni mali ya Kampuni ya Saibaba, lililokuwa…
HABARI KUU Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amezindua Ofisi ya Shirikisho la Wamachinga na Bodaboda iliyojengwa mjini Babati itayokuwa mahsusi kwa makundi hayo katika kufanya vikao, mijadala na…