ANTHONY MARTIAL KUONDOKA MANCHESTER UNITED
MICHEZO Mshambuliaji wa Man Utd, Anthony Martial ataondoka kwenye kikosi hicho katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ambapo mkataba wake utamalizika na Man United imekataa kutumia kipengele cha kuurefusha…