(Click on the star on form card to select)
CRISTIANO RONALDO AWATUKANA MASHABIKI WA AL SHABAB
MICHEZO https://www.facebook.com/Rahman.Jahid.15/videos/7462167590508968/?mibextid=AQBXeECoIFSgMqhe Mashabiki wa soka wamemkosoa vikali Cristiano Ronaldo baada ya kuonekana akifanya kitendo kichafu wakati wa mechi huko Saudi Arabia. Ronaldo anayeichezea timu ya Al-Nassr alifunga bao kwa penati…