0:00
MICHEZO
Manchester City wameitembezea kichapo cha 3-1 majirani zao wa Manchester United kwenye mchezo wa ‘Derby’ ya Manchester kwenye ligi kuu ya kandanda nchini England.
Ushindi huo umeifanya City kuendeleza mbio zao za kuwania taji la ligi hiyo wakifikisha alama 62 baada ya michezo 27 wakiwa alama moja nyuma ya vinara Liverpool.
Related Posts 📫
The 22-year-old led the Fever to an 84-80 win against...
Secondary school principals in Kenya are advocating for a comprehensive...
In this year that promises a lot of marriage bells...
A French league soccer match between Paris Saint-Germain and Lyon...
Sophia Momodu, the mother of David Adeleke, Davido's first child,...